Wednesday, January 13, 2016

Album mpya ya Kanye West ‘Swish’ kutoka February 11

Hatimaye Kanye west ametangaza tarehe rasmi ya kuachia album yake mpya ‘Swish’
 Tangazo hilo lililokuwa likisubiriwa kwa hamu na Mashabiki wa rapper huyo, lilitoka siku ya Ijumaa likiambatana na ujio wa Track mpya ‘Real Friends’ Pia mke wa rapper huyo, Kim Kardashian alitangaza
 
kuwa Kanye ataachia wimbo mpya kila ijumaa mpka siku ya kutoka kwa Album hiyo
Hii si mara ya kwanza Kanye west kutumia mfumo wa kuachia track moja moja kabla ya kuachia Album, alifanya hivyo kabla ya kuachia Album yake ya ‘My Beautiful Dark Twisted Fantasy’ mwaka 2010.

No comments: