Wednesday, January 13, 2016

Exclusive: Msanii wa Bongo Flava YAKI aitumia sikukuu ya mapinduzi kwa kuwasaidia watoto yatima

 Ni malachache kwa wasanii hapa nchini kufanya kitu cha kipekee kama alichokifanya msanii Yaki kwa kupeleka msaada wa vitu malimbali lkatika kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Sinza Mori jijini Dar Es Salaam, Mungu akuzidishie ndugu yangu Yaki.
 
Ashukuliwe Mungu muumba Ardhi na Mbingu... Mimi na rafiki zangu Tumefanikisha kwa 100% tulichokiwekea dhamira kukifanya tar 12 jan 2016...asante Allah..eeh Mungu tuongoze tufanikishe na vingine

 
vingi..asanteni wote mlioshiriki nasi,kwa michango na kufika pia kwenye kituo cha kulea watoto hawa yatima(CHAKUWAMA) Sinza MorI...Mungu ameona na Mungu atawalipa!!
 

No comments: