Msanii Wa Nyimbo
Za Mduara AT Amefunguka Ya Moyoni Kuhusu Msanii mwenzie ALIKIBA, kupitia
Mtandao wa Instagram Msanii Tokea Zanzibar aliandika haya "kMy dear
Brother imekua desturi ya watu kutokumbuka fadhila haya ni ya kwangu
binafsi wala hayahusiani na ushabiki usiojenga heshma kwa mtu acha
nikutumie barua ya wazi kwako mwaka 2006 mwishoni nilibahatika ulikua
shabiki mkubwa wa wimbo wangu wa UTAONA NOMA uliniambia hayo wakati
tulipokutana kwa mara ya kwanza wakati nikiwa bado mgeni wa jiji la Dar
maeneo ya kariakoo mtaa wa Pemba

kwa Dada Rahma Mama Swalekh na tukiishi
km ndugu hapo wakati ukihit na wimbo wako wa Sinderela mtu wa kwanza
kwanza kukupandisha Daladala ni Mimi #Ahsante
sana kwa heshma ulionipa hata pale ilipofikia nilikuambia naacha muziki
uliumua na ukaniambia upo tayari kutoa pesa mfukoni unisaidie na
ukanifariji kua nitafanikiwa tu #Ahsante
kwa mara ya 2 tuliishi ndugu hadi kwa wazee wetu nilifurahi zaidi kuona
ushirikiano wa familia yako ktk harusi yangu misiba na matembezi
sikujua hata mm siku nitakua nkombozi kwako baada ya pale kituo cha tv
fulani kugoma kupiga video zako eti ya kwamba unadharau niliumia vile
haupo ivyo ila show yangu ya zanzibar uzinduzi wangu ukasababisha
tofauti hiyo ifutike na ukawa huru zaidi na kufanya video na mtu ambae
ilikua akidhani unamaringo na hatimaye ulifanya show hiyo na ulikataa
nisikulipe #Ahsante sana
uliweza kuniletea Marlow studio wakati akiwa anahit mno nakufanya nae
Colabo hadi leo uwowimbo haujachuja hadhi nilijua ww ni mtu wa imani
baada ya Msanii fulani wakati tupo Oman mwaka 2010 alikukera sana hadi
ulitaka kumpiga ila niliposimama kati huruma ikakujaa hali ya kwamba
ulikosewa Ombi langu kwako Ingawa ni mipango ya #Mungu ila Unamchango mkubwa mpaka mimi kua #AT naomba kati ya Tunzo mbili nilizopata Tanzania Moja nikutunukie ww Moja iyende kwa Adam Juma Good bls you @officialalikiba @adamjuma
( kuna kitu kiba ulikua unakitafuta sana hujafanikiwa kukipata ila kwa
kuthamini mchango wako ni kidogo ila kitakufurahisha sana na huenda
kikakutoa mchozi nakutumia now katika Whatsup yako be happy my Bro
SALUTI "
No comments:
Post a Comment