Msanii Mkali Wa Bongo Flava Diamond
Alitangaza Siku Kadhaa Zilizopita Kuwa, Kutokana na ukali wake
kimuziki, Mashabiki siku hizi wanamuita SIMBA. Humu Nchini katika pita
pita zangu kwenye mitandao Nimekutana Na Profile ya Msanii Wa Nyimbo Za
Injili WILLY PAUL Naye siku hizi anajiita SIMBA, Hii Hapa Tazama.

No comments:
Post a Comment