Beyonce anaweza akawa mjamzito tena.
Picha zilizopigwa mwishoni mwa wiki iliyopita zimemuonesha Beyonce akificha tumbo na koti kitu ambacho watu wengi wanaamini anaficha ujauzito.
Beyonce na Jay Z walionekana Los Angeles lakini kila alipotaka kupigwa picha alikua anafunikana tumbo lake.
Hii sio mara ya kwanza Beyonce anadaiwa kuwa na ujauzito wa pili.
No comments:
Post a Comment