Wednesday, January 13, 2016

Staa wa muziki kutoka Nigeria atamani kufanya kazi na Harmonize, asema anakipaji kikubwa

 
Kaa karibu na ua unukie, Msanii kutoka WCB, Harmonize ameanza kuonekana kwenye soko la kimataifa, msanii wa Nigeria Kiss Daniel amesema anatamani kufanya nae kazi.


Kiss Daniel alionesha lengo la kutaka kufanya kazi na Harmonize baada ya kuulizwa kwenye twitter kama anampango wa kufanya collabo na msanii yoyote wa Tanzania “Diamond of cuz .. Tho I love this new dude signed to his label”  Alijibu Kiss Daniel “Yeah… Hez got crazy talent”

No comments: