Monday, January 18, 2016

Ebony fm yatolewa nje Country fm na Nuru fm zaelekea Fainali mpambano wa Show au Redio inayotoa mchango kwa wasanii mkoani Iringa

Ulikua mpambano wa kuitafuta redio moja ambayo inawapa nafasi kubwa wasanii mkoani Iringa,Zikawa zimepatikana Redio tatu zinazotoa mchango kwa wasanii mkoani Iringa ambazo ni Ebony fm kupitia show yake ya The splash, Nuru fm kupitia show yake ya Street bamiza na Country
 
fm kupitia show yake iitwayo Ngoma za mchana, Baada ya kuzipata hizi redio tatu zikawekwa katika mtanange wa kuipata redio moja ambapo wasikilizaji ndo walikua wahusika katika kupiga kura pia hizo kura zilipigwa kwa njia mbili njia ya kwanza ni njia ya sms na njia ya pili ni njia ya mtandao wetu wa djjonamusic Blog, ambapo mpaka leo kupitia njia ya mtandao Redio country fm imeongoza kwa asilimia 62 ambapo imepigiwa kura mara 25 kama unavyoona apo chini.


pia kwa njia ya sms Show ya Ngoma za mchana ya Country fm imeongoza kwa asilimia 95 ambapo imepigiwa kura mala 95 amapo iliyofuata ni Street Bamiza ambapo imepata asilimia 10 ambapo imepigiwa kura mala 10,
 
Hivyo mtatangaziwa ni lini mtaanza kupiga kura kwaajili ya mshindi wa kwanza atakae chukua 50,000/= kutoka Selcom Mobile pamoja na Muda wa maongezi wa Tz sh 10,000/= 2GB, DK 550 kupiga Tigo kwenda Tigo na sms 8000 pamoja na Mbs 800 vyote hivyo matumizi yake ni mwezi mzima kutoka Tigo Tanzania.

No comments: