Wednesday, January 20, 2016

Exclusive: Kimbembe ni nani kati ya Nuru fm au Country fm, Tarehe rasmi ya upigaji wa kura Redio inayotoa Support ya nguvu wasanii wa iringa ipo hapa

Tarehe lasmi ya upigaji wa kura zimetolewa leo na waandaaji wa shindani hili ambao pia ni waandaaji wakubwa wa tuzo hapa nchini wakiwa wamepewa shavu na selcom Tanzania, Tigo pamoja na Blog hii, Siku ya kesho ndo itakua tarehe rasmi ya kupiga kura ingawa utaratibu utakua na mabadiliko kidogo na awamu ya kwanza ya upigaji wa kura, Kwa upande wa sms tutatumia njia ya 
Push Mobile tofauti na mwanzo hii ni kutokana na malalamiko ya washindani na wapigaji wa kura walio wengi, Mwisho wa kupiga kura itakua siku ya jumapili ya tarehe 31 tutayafunga mashindano na zoezi la kuhesabu kura litachukua siku 5 ambapo zawadi zitatolewa siku ya j3 ya tarehe 15 ya
mwezi ujao wa pili,Matokea yatatangazwa Live  rasmi kupitia Redio ambayo itakua imechukua hii zawadi Uhesabuji wa kura utakua tofauti na mwanzo na ndiyo sababu ya kuchelewa kuyatoa matokeo hayo watakao kua wanahesabu ni waandaaji wakuu wa haya mashindao ambao hakutaka jina lao litajwe au kuandikwa.

No comments: