Wednesday, January 20, 2016

FLORA MBASHA AJIPANGA KUTOA VOCAL TRAINING 25/1/2016

Nyota wa nyimbo za injili maarufu nchini Tanzania Flora Mbasha, anategemea kuwa mwalimu wa Vocal Training ambayo itaanza Jumatatu ya 25/1/2016. Msanii huyo ambaye aliwahi kutamba na nyimbo zake kama Ndoa, Yatosha, Nipe Nguvu, Inua Moyo Wangu nk,  ametoa wito huu kwa wadau na wapenzi wa burudani ya muziki
.
“Karibu kwenye vocal training itaanza tar 25 Jan Jumatatu ijayo. Mwl ni mimi Flora Mbasha. Kwa mawasiliano zaidi piga 0758105014. Kwa ajili ya kuboresha sauti yako unahitaji training ya Mara kwa Mara. Kama hujui kuimba na ungependa kujifunza unakaribishwa.” Alisema Flora

No comments: