Rapper wa Marekani, Wiz Khalifa weekend iliyopita alikuwa ni mmoja wa
mastaa waliohudhuria kwenye tuzo za Golden Globes Awards 2016. Wiz
aliambatana na mama yake mzazi Katie ‘Peachie’

Wimbush kwenye tuzo hizo,
na wakiwa kwenye red carpet walibusu midomoni mbele ya wapiga picha,
kitendo ambacho kimekosolewa na watu wengi wakidai sio sawa kwa mama na
mwanaye wa kiume kubusu kwenye midomo kwa namna hiyo.
No comments:
Post a Comment