Thursday, January 14, 2016

Usher atangaza jina la Album yake mpya ‘Flawed’

 Usher ametangaza jina la Album yake mpya ya nane.
Mashabiki wa Usher wategemee album mpya ya staa huyo kabla ya mwaka huu kuisha, ametangaza
 
jina la Album hiyo  Flawed. Usher ametangaza jina hilo kupitia Twitter ya msanii mwingine, Daniel Arsham bila kutoa taarifa yoyote zaidi

No comments: