Kwa wiki kadhaa kwenye kwenye
mtandao wa Instagram kumekuwa na majibishano ya vijembe kati na Wema
Sepetu na Zari hasa kuhusiana na uhalali wa mtoto wa Tiffah kama ni wa
Diamond. Zari amepiga stori na cloudsfmtz
moja kwa moja kutoka Sauz. ‘’Ngoja nikwambie kitu mimi ni mzazi ni muda
mrefu Wema na timu yake wamekuwa wakimsema mtoto wangu…Mara Oooh Tiffah

Katunzi…Tiffah Ivan..Sasa ninachoshangaa Wema hayupo na Diamond sasa
mambo ya Tiffah yanamuhusu nini? Haya hata kama mtoto ni mtoto wa hao
watu wanaowataja yeye na ‘team’ yake inawahusu nini?,’’Zari. ‘’Yeye sio
familia ya Diamond amebaki kuwa ‘ex’ kama akina Jokate,Wolper wote
wametulia wanafanya mambo yao,kwanini Wema anatuma watu wamatukane mtoto
wangu kuwa angekuwa mzuri tungehama mjini,mara mtoto mwenyewe
mbaya,Zombi nimewavumilia sana ndio maana nikawajibu,’’Zari. ‘’Mbona wao
wanafake maisha yao kuanzia magari,nyumba ,atafute kazi afanye au
a’promote’ lipstick zake ..’No need for DNA Tiffah ni wa Diamond
…Nimefunga mjadala,’’Zari.
No comments:
Post a Comment