Mahojiano Yetu na Mkali Wa Bongo Flava diamondplatnumz
Weekendi iliyopita ilikuwa nzuri Sana, Maana Tulimuuliza Maswali Ambayo
Hajawahi Kuulizwa Popote, Tulitaka Kufahamu Kama Anamiss Maisha yake ya
mitaani, "Yea Na miss Sana Kwasababu Kuna Vitu Vingine Ambavyo Natamani
Kuvifanya Lakini Siwezi

Kuzivifanya ambavyo nilikuwa navifanya Zamani
ni kitu ambacho sometime kinaniumiza hivi, na hata kama naweza kuzifanya
nakuwa Niko busy nasafiri , kwa Mfano kama nimekuja huku ( Kenya)
Nimetokea South Africa nilikuwa na shoot na sasa hivi narudi tena South
Africa, Nimetoka Tanzania takriban wiki Nzima" Alieleza Diamond Platnumz
ambaye hivi Majuzi Ameachia Kazi Yake Mpya 'Make Me Sing' Akiwa
Ameshirikiana na AKA toka Afrika Kusini.
No comments:
Post a Comment