Monday, February 15, 2016

Exclusive:Mixing iliyopikwa na Dj jona Download na kusikiliza Bure

  Ni mixing ambayo imetengenezwa na Dj jona na Milazo ilianza kwa kuicheza nyimbo ya Soggy Doggy iitwayo Nilikaona mwaka jana then ikafuata nyimbo mpya ya Wizkid iitwayo Final na mfululizo uliendelea kwa kuludi tena kitambo kwa kucheza nyimbo iitwayo Aisha waliyoimba kundi la Parklain lililokua na vichwa kama Suma lee...........

No comments: