Jumuiya ya wasanii ambao ni Rappers wanaotokea mkoa wa Tabora maarufu
kama “Hitimisho Squad” wameachia video mpya ya “Hitimisho Cypher2016″
wimbo ambao hauna Chorus, wasanii hao ni Stone
Hood Star, D Wize, Lon
Paul, Mashahili, Sir Moe, Deevon, Bon Quiz, Fizzo Super Sub, G Kifaa
& Buffgzinga ambaye yeye ni rapper mkongwe kutoka kundi la East
Coast Team, Unaweza ukagundua uwezo wa kila mmoja kwa kuitazama na
kuisikiliza hiyo Cypher hapa. Kwa maana hiyo take your time to watch the
Cypher Enjoy with us
No comments:
Post a Comment