Tuesday, February 16, 2016

Nay una ndugu na marafiki wengi wa kuwaposti siku ya Valentine, Mimi nina mwanaume mwingine ninayempenda – Shamsa Ford

Nay wa Mitego amemposta ex wake, Shamsa Ford kwenye siku ya Valentine, lakini mrembo huyo hajafurahishwa na kitendo icho.
 
“Naona mambo yanazidi kuvumishwa kwamba nimerudiana na nay. Pls pls nina maisha yangu na mwanaume ambae nampenda na kumuheshimu. ..sijarudiana na nay na haiwezi kutokea kabisaaa. .” Aliandika Shamsa Ford

 Shamsa
 Nay una ndugu na marafiki wengi wa kuwaposti siku ya leo haikuwa muhimu uniposti mimi.nilishukuru Mungu watu walishasahau kuhusu mimi na ww but naona umetaka kuyafufua. Sipendi scandal na si maisha yangu kutafuta kiki za kijinga. KAZI YANGU NDO INAYONITAMBULISHA. ..PLS TUESHIMIANE. …” Aliongeza .
Shamsa Ford na Nay wa Mitego walidumu kwenye mahusiano ya muda mfupi.

No comments: