Monday, February 15, 2016

Kanye west asema ana deni la dola Milioni 53, amuomba mmiliki wa Facebook amsaidie

 Rapper wa Kanye west amesema anadeni la dolla Milioni 53.
 kanye
Siku chache baada ya kuachia album yake mpya ‘The Life Of Pablo’ Kanye west ametumia mtandao wa Twitter kuelezea suala hilo.

No comments: