Monday, February 15, 2016

Saa zangu mbili zina bei ya magari 20 – Davido

Msanii wa Nigeria, Davido sio msiri linapokuja suala la mali zake.
Muimbajo huyo wa ‘The Money’ amedai saa zake mbili ‘wristwatch’ zina bei ya kununua magari 20, Staa
 
huyo alisema hilo alipokuwa akimjibu shabiki kwenye mtandao wa Twitter aliyohoji kuhusiana na saa zake
Hivi karibuni staa huyo alisaini mkataba wa mamilioni na Sony Music.

No comments: