Mimi naitwa chacha wamara msanii mpya kwenye industry ya muziki wa
kizazi kipya huu wimbo wangu wa sugar ni wa kwanza kuutoa pia ni wa
kwanza kurekodi,nimeurekodi studio ya mwendo records chini ya producer
mas classic,hivyo watanzania naombeni mnipokee

No comments:
Post a Comment