Wednesday, February 17, 2016

No More Family Business: Peter wa Psquare hataki kaka yao Jude Okoye aendelee kusimamia kazi zao

 
Peter Okoye wa kundi la Psquare hataki tena kazi zao zisimamiwe na kaka yao Jude Okoye ambaye amekuwa manager wao tangu mwanzo.


Usiku wa jumanne, Peter alimshambulia kaka yao huyo kupitia Twitter na kudai kuwa kaka yao sio kiongozi mzuri wa kundi hilo japo amekuwa kimya kwa miaka minne, amesema anataka ungozi mpya.

No comments: