"SIRI YA GARI LA SHETTA ANAIJUA YEYE MWENYEWE " Asema CHIEF KIUMBE
Chief kiumbe mmoja wa Watu wanaotajwa kuwa karibu na wasanii wengi bongo
na amekuwa akitajwa kwenye ngoma zao,amesema Gari jipya la shetta Siri
yake anaijua shetta mwenyewe.
KIUMBE alikua akijibu kile kilichozungumzwa na NAY WA MITEGO kwenye wimbo wake

#ShikaAdabuyako kuwa shetta kanunuliwa na Chifu kiumbe.
Hata
hivyo amekiri kuwa yeye pia anaijua Siri ya gari LA shetta lakini
shetta anaijua zaidi kwasababu gari ni lake lakini kumnunulia mtu gari
issue ndogo.
"Hata kama Mimi naijua lakini Siri anaijua shetta mwenyewe"...amesema CHIEF.
Amesema kuna makubaliano yanakuwepo yanakuwepo hadi kumnunulia msanii gari na msanii wa kwanza kumnunulia gari alikua matonya.
No comments:
Post a Comment