Wednesday, March 16, 2016

Beef Ni Mzuri Kwa Industry" - Asema CALVO MISTARI

Msanii Wa Nchini Nchini Kenya CALVO MISTARI Amefunguka Kuwa Wakati Mwingine Beef Ni Nzuri Kwenye Music Industry, Akiwa Pamoja na BOBBY MAPESA Wakitambulisha Kazi Yao Mpya 'Tuzidi Tuzidi'
 
Kupitia Kipindi Cha #MamboMseto Ya Radio Citizen na @mzaziwillytuva na @djflashkenya, Msanii Huyo Alisema Haya "Beef Ni Nzuri Wakati Mwingine Kwa Industry, Ndio Watu Waheshimiane". Katika Wimbo Huo, Mistari fulani ya BOBBY MAPESA yanaonekana kuwalenga Wasanii Wawili Wakali Wa Humu Nchini, Hata Hivyo Hajawataja moja kwa Moja.

No comments: