Wednesday, March 16, 2016

Diamond kumtambulisha msanii mpya kutoka Wasafi jumatano hii ya leo

 
Diamond ametangaza kumtambulisha msanii mpya kutoka kwenye label yake ya Wasafi Jumatano hii ya leo.
 raymond
Diamond ametoa taarifa hiyo kupitia Twitter,
https://twitter.com/diamondplatnumz/status/709457700841725952
Pia alifafanua ujumbe huo,

“Wengi wetu tumezaliwa katika familia duni na ndiomaana kidogo tunachokipata ni vyema kukitumia kusaidia wenzetu ili nao kesho wawainue na wengine… tafadhali wadau tunaomba sana mtusaidie kuwasupport vijana wenzetu…..Maana Sisi wenyewe kwa wenyewe ndio wakunyanyuana 🙏 #BADO
Label hiyo inasimamia wasanii wawili ikiwemo Harmonize ambaye amefanikiwa kwa kiasi kikubwa hadi sasa na Raymond.

No comments: