Thursday, March 10, 2016

VIDEO: Mtanzania aliyelamba dili Tigo baada ya kuwaonyesha mteja anatavyoiona simu hata ikiibiwa.

Anaitwa Godfrey Magila, yeye na vijana wenzake ambao hawajafikisha hata umri wa miaka 25 walipata wazo la kutengeneza App itakayomuwezesha Mteja yeyote wa kampuni ya simu ya Tigo kulinda kila kitu kilichomo kwenye simu yake hata ikiibiwa na anaweza kumuona aliyemuibia….. mtazame kwenye hii video hapa chini.

Credit: Millardayo.com

No comments: