Friday, April 15, 2016

‘Colors of Africa’ ya Mafikizolo na Diamond kutoka Ijumaa ijayo

Umeisubiria kwa muda mrefu na sasa unaweza kuanza kuweka tick za X kukata siku moja moja katika siku saba kuanzia leo.
 NhlanhlaMafikizolo-Diamond-Platnumz-768x1024
Video ya collabo kubwa kati ya kundi maarufu la Afrika Kusini, Mafikizolo na Diamond Platnumz itaachiwa kwa mara ya kwanza kupitia kituo cha runinga cha MTV Base, Ijumaa ijayo.
Wimbo huo umetayarishwa na member wa kundi la Uhuru, Dj Maphorisa aliyeshirikishwa pia.
“Let the countdown begin⏱!! In 9 days we launch the official music video of “Colours of Africa” feat @diamondplatnumz and @djmaphorisa exclusively on @mtvbaseafrica #AfricanCollabos #ColoursOfAfrica,” aliandika Nhlanhla Nciza (member wa kike wa kundi hilo), juzi kwenye Instagram.

No comments: