Unaikumbuka ile
Range Rover Evoque 504 ambayo Wema Sepetu alijizawadia kwenye birthday
yake mwaka jana? Well, inaweza kuwa yako iwapo unaweza kuwa na takriban
shilingi milioni 200 za kumwaga
sababu TRA wanaipiga mnada! TRA
wanaishikilia gari hiyo kwasababu iliingizwa nchini bila kulipiwa kodi
na kwakuwa ushuru wake ni takriban nusu ya gharama yake, Wema ameshindwa
kuikomboa.
No comments:
Post a Comment