Ni mtangazaji machachari wa Redio iliyofanya mapinduzi kwa kukubalika mapema na watanzania inaitwa KINGS FM Kupitia show za mchana na usiku ambazo ni tishio kubwa kwa redio ukanda wa kusini ziitwazo Fire Beats na Kings Love mashabiki wengi wamempa jina la DIVA ambapo mwanadada DAVINE KWEKA amelikataa hilo jina uku akitoa sababu ambazo amesema ndo zinamfanya kuto kulikubali hilo jina jina lenyewe kila kukicha linaandamwa na matusi
kutoka kwa mashabiki pia lovenes love wa kipindi cha Ara za Roho kinacholuka clouds fm ni mtata kukuta mtu analitumia jina la DIVA akamaliza na kusema kiufupi siwezi kujieleza zaidi ila ilo jina silitaki na nawaomba radhi wasikilizaji wangu wanolitumia hili jina la DIVA kwamba siwezi kulitumi naogopa matusi kutukanwa baadhi ya watu watajua ni yule DIVA wa Clouds ambaye kwa sasa analitumia hilo jina
No comments:
Post a Comment