Msanii wa muziki wa bongo fleva Mwanafalsafa A.K.A Mwana
FA amefunguka na kuonyesha hisia zake kuikubali kazi mpya ya msanii
Alikiba ambayo inafahamika kwa jina la 'Aje'
Alikiba. Mwana FA kupitia account yake ya twitter aliandika ujumbe wenye
kuonyesha kuwa kazi hiyo ya
msanii huyo ni kiboko na kusema amesikiliza
mara nyingi sana lakini hajaweza kugundua kosa lolote lile kutokana na
ngoma hiyo kuwa ni kali. "hii aje ya kiba nyo*** bana, its perfect
Wakazi. Ukiisikiliza mara nyingi kama mimi unakuwa na uwezo wa kuona
makosa,Siyaoni hata kwa kuyasaka" Mwana FA
Mbali na Mwana FA msanii mwingine Wakazi pamoja na Shaa wameungana na
Mwana FA na kusema kuwa wimbo huo ni kiboko na jinsi ulivyopangiliwa.
No comments:
Post a Comment