Monday, June 6, 2016

Diamond Platnumz Amkabidhi mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda Madawati 600

Kupitia kipindi cha #FNL kinachorushwa na EATV siku ya Ijumaa, msanii Diamond Platinumz aliahidi kuna tukio kubwa

atafanya siku ya J'tatu. Na leo hii ametimiza ahadi hiyo baada ya kumkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, mchango wa  madawati 600

No comments: