Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dudu baya ametoa maoni yake kuhusiana ongezeko la label za muziki Bongo, ambapo amesema ni jambo zuri ila tatizo wasanii wanaosimamiwa na label hizo.
Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha Ea Radio, Dudubaya amesema wasanii wengi wa bongo wanaingia mikataba wasiyoridhika nayo ili kupata umaarufu na baadaye wakishafanikiwa wanaanza kuongea maneno machafu kuhusu menejimenti zilizowatoa.
zi Wateule, Dogo janja alivyoondoka TipTop na kuanza kusema hakuwahi kulipwa chochote pamoja na mifano mingi ya watu waliojaribu kuanzisha lebel wakaishia njiani.
Ametolea mifano lebel kama WCB na nyinginezo ambapo ameisema inafanya vizuri lakini haamini kabisa wasanii wake endapo watadumu.
No comments:
Post a Comment