Thursday, August 4, 2016

Diamond Platnumz na Patrick Ngowi wametajwa kwenye orodha ya vijana 100 wenye ushawishi zaidi Afrika 2016

Diamond Platnumz na Patrick Ngowi ni mmoja ya vijana 100 wenye ushawishi zaidi Afrika ‘100 Most Influential Young Africans’ kwa mujibu wa African Youth Awards.
 
Alimia 87 ya watu waliotajwa kwenye orodha hiyo wana’followers zaidi ya 18,317,458 kwenye mtandao wa Facebook kwa ujumla na 86% ya watu hao wana followers 16,203,116 kwenye mtandao wa Twitter kwa ujumla.
Wengine waliotajwa ni pamoja na Lupita Nyo’ngo, Wizkid, Trevor Noah, Sarkodie na Kansiime Anne.

Tazama orodha kamili (Imepangwa kwa alphabet)
  1. Abraham Attah
  2. Ahmed Adamu
  3. Ahmed Musa
  4. Alain Nteff
  5. Alek Wek
  6. Alengot Oromait
  7. Amira Yahyaoui
  8. Anas Aremeyaw Anas
  9. Anthony Mutua
  10. Arthur Zang
  11. Ashish Thakkar
  12. Ashley Uys
  13. Ato Ulzen-Appiah
  14. Aya Chebbi
  15. Baba Rahman
  16. Barkha Mossae
  17. Bethlehem Tilahun Alemu
  18. Bitania Lulu Berhanu
  19. Blessing Okagbare
  20. Bogolo Kenewendo
  21. Bright Simmons
  22. Byrite Asamoah
  23. Chancel Mbemba
  24. Chidiogo Akunyili
  25. Chimananda Ngozi
  26. Christian Ngan
  27. Christopher Ategeka
  28. Clare Akamanzi
  29. Diamond Platnumz
  30. Emmanuel Makandiwa
  31. Eric Kinoti
  32. Eunice Jepkoech Sum
  33. Farida Bedwei
  34. Franklin Cudjoe
  35. Fred Swaniker
  36. Habsana Jallow
  37. Hadeel Ibrahim
  38. Henok Wendirad
  39. Heshan De Silva
  40. Ik Osakioduwa
  41. Issam Chleuh
  42. Jama Jack
  43. James Mworia
  44. Jamila Abass
  45. Jim Iyke
  46. Johnson Sakaja
  47. Julius Malema
  48. Kansiime Anne
  49. Kelvin Macharia Kuria
  50. Kennedy Odede
  51. Khaya Dlanga
  52. Landry Ndriko Mayigane
  53. Landry Signe
  54. Lina Ben Mhenni
  55. Linda Ikeji
  56. Ludwick Marishane
  57. Lupita Nyongo
  58. Makosi Musambasi
  59. Maletsabisa Molapo
  60. Mamadou Touré
  61. Mark Essien
  62. Mfonobong Nsehe
  63. Minoush Abdel-Meguid
  64. Mmusi Maimane
  65. Moustapha Ben Barka
  66. Murtala Mohamed Kamara
  67. Mustapha Mokass
  68. Nadeem Juma
  69. Nelson Oduma
  70. Nima Elbagir
  71. Nkechikwu Nkeiruka Valerie Azinge
  72. Ola Orekunrin
  73. Omojuwa Japheth
  74. Omotola Jalade
  75. Patrick Ngowi
  76. Peace Hyde
  77. Phiona Mutesi
  78. Pierre Emerick Aubameyang
  79. Rapelang Rabana
  80. Richard Nyong
  81. Riyad Mahrez
  82. Rosebill Satha
  83. Saadatou Mallam Barmou
  84. Sadio Mane
  85. Samuel Malinga
  86. Sangu Delle
  87. Sarkodie
  88. Serge Aurier
  89. Simbarashe Mhuriro
  90. Siyabulela Xuza
  91. Sophie Ikenye
  92. Suleiman Sani Bello
  93. Thato Kgatlhanye
  94. Tom Osborn
  95. Tonye Rex Idaminabo
  96. Trevor Noah
  97. Vincent Aboubakar
  98. Vusi Thembekwayo
  99. Wizkid
  100. Zuriel Oduwole

No comments: