Tuesday, September 6, 2016

Diamond Platnumz akutana na YO Gotti Las Vegas, wapanga kuingia studio

Diamond Platnumz about to go down in the DM.
Diamond amekutana na Yo Gotti, Las Vegas na wawili hao wanajipanga kuingia studio kwa ajili ya kurekodi ngoma mpya.

“One of the Realist G i ever met… can’t wait for our Record.. Let’s go get em fam!” Diamond ameandika kwenye picha aliyopost akiwa na rapper huyo wa ‘Down in the DM’
Yo Got
Safari ya Marekani ya Diamond inaonekana kuwa na mafanikio makubwa kwa staa huyo wa ‘kidogo’ kwenye mpango wa kuingiza muziki wake kwenye soko la nchi hiyo, Tayari ameshoot video na Neyo na ameonekana karibu na muigizaji mkubwa duniani, Kevin Hart ambapo amesema anafanya kazi na kampuni ya staa huyo ‘Hart Beat Production’

No comments: