Future bado hajamalizana na Ciara, Mchumba wake wa zamani na mama wa mtoto wake.
Future amerusha tena dongo kwa Ciara kwenye wimbo wake mpya ‘How It Feel’, maneno ya kwenye wimbo bila ubishi yameenda kwa Ciara ambaye amefunga ndoa na mchezaji wa NFL, Russell Wilson.
‘Ask me how it feel to smash an R&B shit,’ Future anaimba kwenye wimbo huo ‘I made you bit*h.’
Future anadai kuwa yeye ndio alimrudisha mwanamuziki huyo mkongwe kwenye Chart, Anaimba
‘Bit*h, you was nothing before me, I gave you fame on the ‘Gram. I put you back on the charts, I gave you number 1 spot.’
Ciara na Future waliachana tangu mwaka 2014 baada ya kugombana kuhusu malezi ya mtoto wao.
No comments:
Post a Comment