Ikiwa imepita miaka 20 tangu rapper mkongwe Tupac Shakur apigwe risasi usiku wa tarehe 13 Septemba 1996 alipokuwa akitoka kuangalia mpambano wa Mike Tyson huko Las Vegas.
Waandaji wa filamu ya maisha ya Tupac ‘All eyes on Me’ wameachia Trailer mpya ya filamu hiyo itakayotoka tarehe 11 mwenzi Novemba mwaka huu.
No comments:
Post a Comment