Monday, September 26, 2016

Sheria kali yapitishwa Australia kwa wanaoonesha makalio hadharani, miezi sita jela

Kuonyesha makalio hadharani sasa ni uhalifu katika jimbo la Victoria nchini Australia.

Australia imeptisha sheria ya kupinga kitendo icho kinachojulikana kama ”mooning” kwa lugha ya kiingereza,ambapo adhabu yake ni hukumu ya hadi miezi sita jela .

7162f1194fb6cd4c3e418da9b07d06acMarekebisho ya sheria hiyo yanalenga kutengenisha utani unaohusisha uchi na ule wa kujionyesha kingono.
Sheria hiyo mpya pia inapiga marufuku uimbaji wa nyimbo chafu pamoja na tabia nyengine zinaozoonekana kuwa za uasherati, uchafu, kukera au kutusi.

No comments: