Monday, September 26, 2016

Selena Gomez afikisha idadi ya followers Million 100 Instagram


Selena Gomez ndio  mtu wa kwanza kuwa na idadi kubwa zaidi ya followers kwenye mitandao, amefikisha idadi ya followers Million 100 kwenye mtandao wa Instagram.

selena
Mrembo huyo ameweka rekodi ya kuwa mtu wa kwanza kufikisha idadi kubwa zaidi ya followers kwenye mitandao akifuatiwa na Taylor swift mwenye followers 91.4 M, Beyonce mwenye 85.2 M na Kim Kardashian mwenye followers 83.5 M.

No comments: