Tuesday, September 27, 2016

Views ya Drake yawa album ya kwanza kusikilizwa mara Billion 1 kwenye mtandao wa Apple Music


Album ya Drake ‘Views’ ni album pekee iliyosikilizwa mara nyingi zaidi kwenye mtandao wa Apple Music, Imesikilizwa mara Billion 1.

apple musicAlbum hiyo ambayo tayari imeweka rekodi nyingi ikiwemo kuongoza chart za Billboard kwa muda mrefu sasa imevunja rekodi ya mtandao wa Kustream wa Apple Music.
Champagne Papi amemshirikisha Wizkid kwenye wimbo namba moja wa album hiyo ‘One dance’

No comments: