Wednesday, September 28, 2016

Me and Juma Jux are Super fine: Vanessa Mdee afafanua tetesi za kuchepuka na Trey Songz


Staa wa Marekani, Trey Songz alikua Afrika Mashariki kwa ajili ya Coke Studio ambapo ameshirikiana na mastaa wa Afrika ikiwemo Vanessa Mdee.

Kumekuwa na picha na video za utata za staa huyo wa Marekani na Vee Money zikisambaa kwenye mitandao na watu wamekuwa wakidai kuwa wawili hao wamechepuka
CtI1p1iWcAAXwYA
“Trey ni mtu ambaye nimefanya nae kazi zamani wakati nipo MTV kwahiyo ni mtu ambaye nafahamiana nae, namheshimu na ninaheshimu kazi yake” Vee ameiambia AyoTv.
Pia amesema yeye na Jux wapo sawa, anampenda na anamheshimu.

No comments: