Wednesday, September 28, 2016

50 Cent ashitakiwa kwa madai ya kuiba idea ya ‘Power’


Producer na muigizaji wa Tv show ya ‘Power’ Curtis Jackson aka 50 Cent ameshitakiwa kwa madai ya kuiba idea ya show hiyo.
Washitaki, , R. Byron Hord na Curtis Scoon,wamesema 50 cent amewaibia idea ya show yao ‘Dangerous’ ambayo walimshirikisha mwaka 2013 kuona kama anaweza kuiendeleza lakini alikataa, wamedai baadae staa huyo aliibuka na show yake ya Power  ambayo kwasasa ina mafanikio makubwa.

Screen-Shot-2015-05-29-at-8.37.03-AM-1024x1024
Wamedai idea ya show ya Power ni sawa na idea ya show yao ya ‘Dangerous’ kuhusu mfanyabiashara wa dawa za kulevya anayejaribu kuficha pesa za dawa za kulevya kwa kujihusisha na biashara zingine.
Washitaki hao wanataka kulipwa dola 180,000 kwa kila episode ya show ya ‘Power’

No comments: