Dully Sykes anaamini msanii mzuri ni yule anayekubali kuandikiwa nyimbo muda mwingine, na yeye ni mmoja wa wasanii hao.
Dully amesema msanii wa WCB, Rayvanny alishiriki kwenye uwadishi wa Hit single yake ya ‘Inde’
“Eh, Inde mbona tumeshirikiana kuandika na Rayvanny” Dully alifunguka.
Dully ambaye pia amesema wimbo wake wa dhahabu alishirikiana kuandika na JC, amedai kuwa huwa anaandikiwa nyimbo na hana tatizo na hawezi kuwa Legendary kama hukubali kuandikiwa mistari.
No comments:
Post a Comment