Meneja wa Diamond na Ay, Sallam aka Jorge Mendez anakuja na radio yake
Romy Jones amefunguka kuwa Sallam yupo kwenye maandalizi ya mwisho ya kuzindua Radio yake itakayoitwa ‘Dsm Fm’
“Shout out to my boy Sallam, my Boss ana radio yake, sasa hivi ipo online lakini itakuja official” Romy Jones alifunguka kwenye kipindi cha The Playlist.
“Actually not yet, bado ila itakuwa kuwa official kabisa, mwenyewe atakuja hapa mwenyewe utamuuliza, Yeah” Romy ameelezea.
Itazame Interview yote,
No comments:
Post a Comment