
Maswali ya uwezo wa Barakah kuweza kujenga nyumba hiyo ndani ya muda mfupi, Alawi Junior anaweza akawa amejibu maswali hayo.
Alawi Junior akiwa na shemeji zake
Shemeji yake Naj, Alawi msanii wa Bongo Fleva ambaye amemuoa na kuzaa na Lady Naa

(Dada yake Naj) amepost mjengo huo huo na kuandika : Done🏠👍Hongera sana Mama mkwe #zaharaDattan nyumba yako kali sana.”
Hivi karibuni Baraka alimsifia mpenzi wake Naj kwa kumsaidia hadi kujenga mjengo huo aliodai umegharimu pesa ndefu hadi sasa.
No comments:
Post a Comment