Monday, October 17, 2016

Diamond, Harmonize na Dj D-Ommy washinda tuzo za Afrimma 2016, Hii ndio orodha kamili ya washindi

Watanzania Diamond,  Harmonize na Dj D-Ommy wameibuka kidedea kwenye tuzo za Afrimma 2016.
Diamond ameibuka tuzo ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki, Harmonize Msanii bora chipukizi na D- Ommy, DJ bora wa Afrika kwenye tuzo hizo zilizotolewa Dallas, nchini Marekani jumamosi ya wiki iliyopita.
Tazama orodha kamili us washindi,

Best Male West Africa – Olamide (Nigeria)

Best Female West Africa – Efya

Best Male North Africa – Amr Diab
Best Female North Africa – Ibtissam

Best African DJ USA – Dj Dee Money

Best Male Central Africa – C4 Pedro

AFRIMMA Video of the year – Brother brother Bisa Kdei

Best Female Central Africa – Daphne


Music Producer of the year – Masterkraft

Best male South Africa – AKA

Best African Dancer – Winner Brenda Derry (Cameroon) award and also iliwaniwa Tanzanian Diamond Dancer of Platnumz called Mose Iyobo .

Best Female Southern Africa – Chikune

Best rap Act – Phyno (Nigeria)

Best African Group – Sauti Sol (Kenya)

Best collaboration – Reggae blues ( Harrysong, Kcee) Nigeria

Crossing boundaries with Music – Wizkid (Nigeria)

Song of the year – Tekno Duro (Nigeria)

Best Gospel Act – Willy Paul (Kenya)

Best Male East Africa – Diamond Platnumz ( Tanzania)

Artist of the year – Flavour ( Nigeria)

Best Newcomer – Harmonize (Tanzania)

Best Dancehall Act – Shatta Wale

Best Video Director – Patrick Elis

Carribean Artist of the year – Machel Montano.

No comments: