Ciara na Russell Wilson are expecting.
E! News wameripoti kuwa wanandoa hao wanategemea kupata mtoto wao wa kwanza lakini wa pili kwa Ciara ambaye mtoto wake wa kwanza alizaa na rapper Future.
will-ciara-and-russell-wilson-have-baby-soon
Russell Wilson na Ciara waliwahi kufunguka kuwa walikubaliana waifanye mapenzi hadi watakapo funga ndoa ambayo waliifunga mwezi julai mwaka huu.
No comments:
Post a Comment