MTV wameonesha tuzo za MAMA 2016 ambazo watapewa washindi wa mwaka huu, Tuzo hizo zimepewa heshima zaidi, tuzo za mwaka huu ni za dhahabu.
#MTVMAMA2016 | LOOK AT THIS PIECE OF GOLD 😍😍😍 pic.twitter.com/l3BvVt6NVI
— MTV Base Africa (@MTVBaseAfrica) October 21, 2016
Tuzo hizo zitatolewa siku ya kesho huko jijini Johannesburg, Afrika kusini huku watanzania Alikiba, Diamond, Ray Vanny, Yamoto Band, Navy Kenzo na Vanessa Mdee wakiwania vipengele mbalimbali.
#MTVMAMA2016 | Unveiling of the award 😍 pic.twitter.com/pb6PT4RiAO
— MTV Base Africa (@MTVBaseAfrica) October 21, 2016
No comments:
Post a Comment