Beyhive wameanzisha kampeni ya kujikata baada ya Beyonce kujiumiza bahati mbaya kwenye sikio na kutoka damu wakati anatumbuiza kwenye tamasha la Tidal X.
Hata hivyo Beyonce baada ya kugundua anatoka damu, hakuacha kutumbuiza.
Mashabiki hao wameanzisha Hashtag huko Twitter za #CutForBeyonce na #BleedForBeyonce.
Mashabiki wa Beyonce pia waliwahi kumshikia bango producer wa kipindi cha ‘106 & Park’ hadi akasimamishwa kazi baada ya Karruache kumtania mtoto wa Queen Bey kwenye kipindi icho.
No comments:
Post a Comment