Thursday, October 20, 2016

One dance ya Drake ndio wimbo uliosikilizwa zaidi kwenye mtandao wa Spotify, umesikikizwa mara Million 880

Drake ameendelea kuweka rekodi mpya siku baada ya siku tangu aachie album yake ya ‘Views’


Wimbo wa ‘One Dance’ aliowashirikisha Wizkid na Kayla umeweka rekodi ya kuwa wimbo uliosikilizwa mara nyingi zaidi kwenye historia ya mtandao wa Spotify.

Wimbo huo umesikilizwa ‘Streams’ zaidi ya mara Million 880 rekodi ambayo ilikuwa ikishikiliwa na wimbo wa Major Lazer, DJ Snake, na MØ’s “Lean On,” ambao umesikilizwa Mara Million 520.

No comments: