Mkali wa ‘Hot Boy’ Bobby Shmurda amehukumiwa kwenda jela miaka 7.
Mwezi uliopita, Bobby alikubali mashataka yaliyokuwa yanamkabili ya kumiliki silaha kinyume cha sheria, Japo alidai kuwa alilazimishwa na wakili wake kukubali mashitaka hayo.
Hata hivyo mwanzo alikuwa amehukumiwa miaka 5 lakini hakukubali kwasababu rafiki yake, Chad “Rowdy Rebel” Marshall alikuwa amehukumiwa miaka 12 kwahiyo ikabidi aongezewe ili rafiki yake apunguziwe, wote wamahukumiwa miaka 7 na mahakama
No comments:
Post a Comment