Akipiga story kupitia kipindi cha super Mega kinasholushwa na Redio Kings Fm 104.3 Msanii AT alipopewa nafasi ya kutamka neno la mwisho na mtangazaji wa kipindi hicho aitwae Prince Rama Love msanii At alisema yeye asiitwe msanii wa zanzibari bali yeye ni msanii wa tanzania zaidi At alisema ni mfano wa kumfananisha Diamond na msanii yeyote hapa tanzania......Zaidi Sikiliza hapo chini
No comments:
Post a Comment