Akipiga story na mtangazaji wa kituo cha redio nchini kenya cha Citizen Radio William Tuva alikiba alimuambia kwamba Mike ilipozimwa back stage kwenye steji iliyomkutanisha na mkali tokea U.S.A Neyo Ali kiba amezungumza kwamba alikuwepo meneja wa Diamond Platnumz ingawa hajataja jina la huyu menejabo......Tizama video Hapo chini kwa story zaidi pia usiacha kutufollow Instagram kwa jina la @djjonakingtz
No comments:
Post a Comment